UDOM-COLLAGE OF SOCIAL SCIENCE AND HUMANITIES: Wameahirisha kuingia madarasani kwa muda usiojulikana kwa sakata la mafunzo ya vitendo(Field) Kudaiwa kufutwa na TCU.Mpaka sasa wanafunzi hawajahudhuria madarasani.
Home
Unlabelled
JUST IN: UDOM hali si shwari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


kozi yao wanataka mafunzo ya vitendo ya nn?siwanasiasa hao?wasome magazeti tu
ReplyDeleteMnafuta masomo kwa njia ya vitendo watajifunzia wapi kazi?
ReplyDeleteNI KWELI HALI SI SHWARI HAPA CHUONI MPAKA SASA WANAFUNZI HATUJAINGIA DARASANI KWA KILE AMBACHO TCU WAMEKIFANYA UKIZINGATIA IMEBAKI WIKI MOJA TUANZE MITIHANI YA KUMALIZA MUHULA AMBAPO SASA WANAFUNZI HATUJAINGIA DARASANI KAMA BUNGE LA WANAFUNZI LILIVYOKUBALIANA HADI HAPO UKWELI WA MAMBO UTAKAPOPATIKANA JUMAPILI.LAKINI HALI ILIYOPO SASA INAONESHA KUWA MAJIBU YASIPOKUWA MAZURI SIKU HIYO YA JUMAPILI HALI NDIO ITAKUWA MBAYA ZAIDI NA KUSABABISHA CHUO KUFUNGWA....KWA HABABRI ZAIDI PIA BOFYA LINK HAPO CHINI
ReplyDeletehttp://josephatlukaza.blogspot.com/2011/06/breaking-news-wanafunzi-wa-udom.html
dah...! poleni sana wadau wangu wa hapo UDOM.
ReplyDeleteHayo ndo maisha ila kazeni buti. Usia wangu msiharibu majengo na jaribuni kuomba haki zenu kwa amani ikibidi muende Mjengoni hapo!
"We are together wadau"
Poleni na kazi za ujenzi wa Taifa.
ReplyDeleteNapenda kuchukua nafasi hii kuwaomba nyinyi kama kiongozi kwa jamii, mtusaidie kutoa au kutujulisha kama matokeo ya CBE - mwanza yametoka au yatatangazwa kenye gazeti.
Maana sisi wapenzi wa blog yako tunapata vitu vizuri na vyakuelimisha jamii.
Ahsante.
udom inatuchosha sasa ivi sie wanaudom.......measures tena strong ones shud be taken...la cvyo tutatoka na bora elimu...inasikitisha....siasa mpaka kwenye elimu...tunatengeneza wasomi wa aina gani?
ReplyDeletejamani mgomo co mzuri wana udom wenzangu mimi mwana informatics wa hapo udom na wenzangu college nzima tupo nyumbani na hatujui hatma yetu so ushauri wangu ingieni madarasni kwani nyumbani hali c shwari kabisaaaa wazazi wetu maskini........
ReplyDeletemdau udom(informatics)suspended....!
jamani watoto wa kulima wenzangu naombeni mkae na mtafakali kule mlikotoka mkiona mnaweza kusoma na mkamamaliza shule bila field basi changamkeni na mludishe magamba vijijin kwenu na mkajitolee ktk ofic mbalimbali mi nahc itakua n field tosha na mnaweza mkapata ajira na uzoefu mkubwaaaaaaaaaaaa.......!
ReplyDeletePoleni wana UDOM kwa suala lenu.Hapo wala msishangae wadau ni SIASA hizo zao hizo ndo zinawaathiri wadau lakini KOMAENI KIBISHI mpaka kieleweke. Asante.Mdau wenu.
ReplyDelete