MAREHEMU MAMA ELIGRETER RAYMOND
(MAMA NIWAJWA)
(1936-2011)
KISANGARA- MWANGA- KILIMANJARO
NI SEKUNDE,MASAA,WEEK,MWEZI, NA LEO UMETIMIZA SIKU AROBAINI TOKA TULIPOKUPUMZISHA KATIKA NYUMBA YAKO YA MILELE PALE KATIKA KIJIJI CHAKO CHA KISANGARA. NI VIGUMU KUAMINI KWAMBA MAMA YETU LEO HII HAUPO NASI NA HATUTAKUONA TENA
FAMILIA YA MZEE RAYMOND MCHANI WA KISANGARA MWANGA INAPENDA KUWASHUKURU WAUGUZI WA HOSPITAL YA DR MHANDO ARUSHA, DOKTA MUSTAPHA WA HOSPITAL YA AGA KHAN, UONGOZI WA HOSPITAL YA SELIAN ARUSHA ,NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WALIOKUWA BEGA KWA BEGA WAKATI TUKIMUUGUZA MAMA YETU HADI MAUTI YALIPOMKUTA.HATUNA CHA KUWALIPA ILA MUNGU WA REHEMA AKAWAONGOZE KATIKA MAISHA YENU.
MAMA DAIMA UTAKUMBUKWA NA WANAO ( Frank,Lightnes,Stewart,Godfray,Safiel, na mwanao wa mwisho Emanuel Raymond Mchani) WAJUKUU ZAKO ( Stanley , Catherine Abuel James,Joyce,,Jesca,Graca,Brown,Calvine,Kikumbu,Novaray,Rabia,Piurity,Elton,Alton, na hata ambao hawajazaliwa watakukumbuka milele.
MUNGU WA REHEMA AKAKUPE PUMZIKO LA MILELE, NURU YA USO WAKE IKAKUANGAZIE MILELE.
PUMZIKA KWA AMANI MAMA YETU:
AMEEN.



Rest in peace mama Niwajwa,,hakika tutakukumbuka daima.Nilikupenda sana mama,japo umeondoka mapema kabla ya kufaidi matunda yangu,ila yote kheri,Mungu akakupe pumziko la milele,nuru ya uso wake ikakuangazie milele na milele.Pumzika kwa amani mama.
ReplyDeleteMwanao Emanuel