Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya ( kulia) akijiandaa kumkabidhi cheti cha mfanyankazi hodari wa kitaifa wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa , Abraham Mwaikwila ( kati kati) huku akiwa na hundi yake mkononi wakati wa hafla ya kutunuku vyeti kwa wafanyakazi hodari wa Idara mbalimbali za Ofisi hiyo , ambayo ilifanyika Juni 8, mwaka huu Ofisini hapo.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya ( watatu kulia walioketi) akifuatiwa na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mgeni Baruani, mara baada ya Mkuu huyo wa Mkoa kuwatunuku vyeti wafanyakazi hodari ,ambao ni watumishi Ofisi Mkuu wa Mkoa , hafla iliyofanyika Juni 8, mwaka huu.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...