Napenda kuwatangazia kuanzishwa kwa blogu mpya ijulikanayo kama TAFUTA PATA inayopatikana katika anuani hii http://tafuta-pata.blogspot. com .
Blogu hii ambayo baadaye itakuwa tovuti kamili inalenga kusaidia wanajamii waliopoteana na ndugu,jamaa,marafiki na watu wowote wale.Iwapo kuna mtu mmepotezana kitambo,basi cha kufanya ni kutupatia jina lako na la unayemtafuta,na jinsi anavyoweza kuwasiliana nawe...nasi tutaanzia hapo.Huduma hii ni ya bure pasipo malipo yoyote yale.
KARIBUNI SANA http://tafuta-pata.blogspot. com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...