Afisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mercy Mrutu akizungumza na Wasanii wa Kikundi cha Mizengwe Habib Mrisho jina la kisanii OHA (wa pili kulia) na Jesca Kindole jina la kisanii SAFINA (wa pili kushoto) wakati wasanii hao walipolitembelea Banda la Tume kwa ajili ya kutaka kujua Sheria za Haki Miliki na changamoto zinazowakabili wakati wa maadhimisho wa Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi mmoja Dra es Slaam, aliyesimama ni Ofisa Sheria wa Tume Marlin Komba.
Msanii Habib Mrisho(OHA) akimsisitizia jambo Ofisa Sheria wa Tume Mercy Mrutu wakati wasanii hao walipolitembelea Banda la Tume kwa lengo la kupata ufafanuzi wa kisheria kuhusiana na masuala ya Haki Miliki.
alela yuko wapi
ReplyDeleteEeee Bana Misupu,
ReplyDeleteHao jamaa wananifurahishaga sana kwenye vile vichekesho vyao vya mizengwe hasa yule jamaa mwenye mvimvi yule sijui kapaka unga au Mzee kwelikweli?
Hebu naomba warudie ule Mchezo ambapo yule jamaa mwenye mvimvi alichukua tenda ya UPISHI kwenye Msiba halafu akaingia nyasini akaenda kuspendi na Demu.
Jamaa alivyokuwa anayarudi mayenu-msondo alinikuna sana.