Mdau Humphrey Millinga akiwa katika pozi na mai waifu wake,Veronica Mande mara baada ya kumeremeta katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay na baadaye kufuatiwa na mnuso babkubwa katika Ukumbi wa Lamada jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Bi. Veronica Mande akiwa katika pozi.
Mdau Humphrey Millinga na mai waifu wake,Veronica Mande wakionyesha nondozz zao mara baada ya kumeremeta katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar.
Maharusi wakipongezwa na Mchungaji mara baada ya kumeremeta.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2011

    Hongera sana mzee Humphery.. Best wishes!!

    Mdau Yokohama!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2011

    Mtoto amependeza sana hongera

    ReplyDelete
  3. Joyce Mahila aka MajoyJune 10, 2011

    Congrats my Nica tuli-enjoy kinoma that day.
    All da best in ur new life.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...