Home
Unlabelled
Wahusika hapa Mnapaona lakini??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
VIPOFU TOLEA LINI WANAONA SI MPAKA WASAIDIWE? WAFADHILI WAKIPATIKANA TU BASI LABDA MAMBO YATAKWISHA.
ReplyDeleteManispaa ya Kinondoni tafadhali itupieni jicho na ile barabara ya TANESCO Msasani. Yaani ni mbovu sana na ile ndiyo mkombozi wetu tunaotokea Mbezi.
ReplyDeleteNa kwa nini hamuiwekei lami????????? Mulijenga vimitaro vya kishikaji na kifisadi baada ya kipindi kifupi tu vimebomoka bomoka. Hata mimi nisiyekuwa engineer nilielewa kuwa pale ni bomu tu.
Munakula mpaka mitaji ya kodi zetu! Hebu oneni aibu jamani weeeeeeeee!
Bongo Tambarare si Machimboni hapo? Almasi,Dhahabu nje nje hapo... KZ
ReplyDeleteNCHI YETU JAMANI IMEOZA,KILA JAMBO BAYA LIPO TANZANIA,MAISHA DUNI KABISA YAPO TANZANIA,NAONA HATA NCHI NDOGO KAMA RWANDA INAANZA KUTUSHINDA VIONGOZI WETU KAZI YA MALUMBANO NA MAANDAMANO KILA SIKU NA SULUHU YA MATATIZO SUGU HAIONEKANI.HAPA NI BARA BARA BADO HATUJAENDA KTK UMEME WA MGAO,RUSHWA,UJAMBAZI,UFUSKA,HUDUMA DUNI ZA AFYA,AJALI ZA KILA MARA NK.SASA HII BARA BARA IPO KTK WILAYA YA KINONDONI NA WABUNGE NA VIONGOZI WA WILAYA HII TUNAWAONA KILA SIKU KTK MABONANZA NA SHUGHULI ZA STAREHE,KUZINDUA BIA MPYA NK.CHA KUSHANGAZA KWA NINI HAWACHUKUI HATUA ZA KUTATUA MATATIZO KAMA HAYA ??MUDA WA MAMBONANZA WANAO SANA LAKINI MAENDELEO YA NCHI WAO SIYO SHIDA YAO.KWELI BONGO TAMBARARE.
ReplyDeleteEbana hata New York nimeshaona haya mambo. Usisikitike sana, Bongo kama New York,Ahem.
ReplyDeleteHizi ni mbinu za kuzuia mwendo wa kasi ambazo serikali inaweza kupunguza ajali ni speed restriction hizi hapo ni lazima unyate huku ukiyumbayumba gd job
ReplyDelete