Mkurugenzi wa Uendelezaji Sera wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mathias Kabunduguru ( kushoto) akifafanua jambo juu ya kufanyika kwa mkutano wa kimataifa wa utumishi wa umma wenyetija, kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. Kushoto kwake ni Mshauri wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Maendeleo ya Umoja wa Mataifa (UNDESA), Richard Kerby, wakati wengine pichani ni maafisa kutoka idara hiyo ya UNDESA.
Home
Unlabelled
Mkurugenzi wa Uendelezaji Sera wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma akutana na wanahabari leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...