Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Hawa Ghasia akipata maelezo kutoka kwa Afisa Maendeleo ya Jamii Mwandamizi wa Wizara ya Fedha William Gabriel Ghumpi leo jijini Dar es salaam wakati Waziri huyo alipotembelea banda la Wizara ya Fedha ikiwa ni siku ya nne ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia akisaini kitabu cha wageni pindi alipotembelea banda la Wizara ya Fedha ikiwa ni siku ya nne ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja,jijini Dar es Salaam.Picha na Tiganya Vincent, MAELEZO-Dar es salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...