Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Dk.Patrick Makungu akifunga mkutano wa wadau wa mtandao wa Intaneti kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa mkutano wa wadau wa mtandao wa Intaneti wakiwa katika mkutano huo uliowashirikisha washiriki kutoka nje mbalimbali Duniani na kufanyika Kunduchi Beach hoteli jijini Dar es Salaam.
.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Profesa John Nkoma (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa AfriNIC





masahihisho ni Profesa P Makungu na siyo Dk. Mtake radhi
ReplyDelete