HELOO  BROTHER MICHUZI
 
MIMI NI MSHABIKI MKUBWA WA BLOG YAKO HII NA HAIPITI SIKU BILA KUSOMA KHABARI MBALI MBALI.       NAOMBA NA MIMI LEO UNITOLEE KITAARIFA CHANGU HICHI KIDOGO TU.


KWA JINA NAITWA ALI MAARUFU SHETI NA NILISOMA KATIKA SHULE YA UNUNIO KWENYE MIAKA YA 1970 MPAKA 1979 NILIHAMA KATIKA KIJIJI HICHO CHA UNUNIO. KWA VILE NIMEWAMISI SANA VIJANA AMBAO NILICHEZA NA KUSOMA NAO KATIKA SHULE HIYO YA UNUNIO NAWAOMBA KAMA WAPO WANAOSOMA BLOG HII TUWASILIANE ILI TUPEANE KHABARI ZA MAISHA NA MAENDELEO KWA UJUMLA MIMI KWA MUDA MREFU SASA NAISHI LONDON KWA HIVYO  NAWAOMBA TUWASILIANE KWA EMAIL YANGU HII  saidaliUK@hotmail.com

 IDUMU BLOG YETU HII.    
THX

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2011

    ununio ni wapi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2011

    heshima mwinshehe upo? nipo email yako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...