![]() |
Marehemu Msafiri Hassan Kalipeni |
Mwili wa Marehemu Msafiri Hassan Kalipeni aliyefariki dunia juzi jijini Dar es salaam kwa shinikizo la damu unasfirishwa asubuhi hii kuelekea Morogoro kwa mazishi kutokea nyumbani kwake Kinondoni B jijini Dar. Marehemu alikuwa mfanyakazai wa benki ya maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB) hadi umauti ulipomkuta.
Mola na aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi
- AMIN
jamani mzee msafiri!! mungu ailaze roho yako pema peponi amina.
ReplyDeleteInna lillahi wainna ilayhi rajiun, poleni sana wafiwa hasa mke wa mrehemu Bi Zena na watoto,
ReplyDeleteM/mungu inshaallah atawapa tahfif katika kipindi hiki kigumu, kumbukeni dua kwa marehemu ni muhimu.
Jamani imenistua. Mr. Msafiri alikuwa MTU WA WATU. Nitamkumbuka kwa Upendo aliokuwa nao kwa kila mtu. Ninamuomba Mungu wetu akawe Faraja pekee katika familia yake aliyoacha. Amen.
ReplyDeleteInnaalilah wainna ilaihi raajioun,
ReplyDeletemola wetu akusameh madhambi yako,
akupe kauli thabit,
akuangazie nuru ktk kaburi lako na inshaaLlah upokee kitabu chako kwa mkono wa kulia uncle MSAFIR,
Hatutakusahau daima dawam..
HAKUNA KITAKACHO BAKI, BAKI ALLAH PEKEE..