Juu na chini ni Katibu Tawala wa mkoa wa Kagera, Bw. Nassoro Mnambila akiwasihi wavuvi wadogo wasikitishe maandamano yao yaliyokuwa yanapinga kile kilichodaiwa kuwa ni hatua ya kaimu afisa uvuvi wa mkoa wa Kagera kuvunja mitumbwi yao na kuwatoza faini kubwa bila kuwa na makosa, wavuvi hao waliandamana jana hadi kwenye ofisi za makao makuu ya chama cha mapinduzi mkoani Kagera.
Picha na Na Audax Mutiganzi, Globu ya Jamii, Bukoba
huu ni unyanyasaji mtujpu. sasa hao wenye kuvunja mitumbwi yao wana mawazo gani. ajira au misaada yeyote hamuwapi alafu mnavunja mitumbwi yao. hawa watu at least wanavua samaki ili wajitunze wao na familia zao.
ReplyDelete