Meneja wa kiwanda cha uchapaji cha Tanzania Standard Newspaper (TSN), Bw. Mcharo akimpa Katibu wa Itikadi wa CCM Bw. Nape Nnauye  maelezo ya mtambo huo ulipo Tazara jijini Dar unavyochapa kazi
Bw. Nape Nnauye  akioneshwa habari zinavyopokewa kwenye mtandao, kwenye mtambo wa TSN, uliopo Tazara. anayemuonyesha ni mtaalamu wa 'graphic' Geofrey Ng'humba na kushoto ni Kaimu Mhariri Mkuu wa Tsn Bw.Mkumbwa Ally.
Kaimu Mhariri Mkuu wa TSN Bw. Mkumbwa Ally akimuonesha  Bw. Nape Nnauye  habari zinavyotayarishwa na Msanifu Kurasa  Bw. Haji Abeid katika hatua ya mwisho kwenda mtamboni ambako pia hupokewa kwenye mtandao. Picha na Bashir Nkoromo
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...