Gari  jipya aina ya Nyumbu lililotengenezwa na Kampuni ya Mzinga ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)  likioneshwa  kwenye maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ya Umoja wa Mataifa na Afrika, kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. 
Picha na Richard Mwaikenda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2011

    Ama kweli "Subira yavuta heri", hili gari hadithi zake nazikumbuka tangu nikiwa shule ya msingi Early 70's. Leo kitu hicho tupe bei nami nione kama nitaweza
    Tanx mainjinia wetu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2011

    Hii ni gari ya mwaka gani? lazima itakuwa ni chini ya 1900! Vipi AC ipo humo?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2011

    mithupu, tuna safari ndefu ambayo hiki kizazi chetu hatutaona hata muelekeo wa wapi tunakwenda. nawakilisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...