Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya inayojihusisha na utengenezaji wa kadi za kutolea fedha kwenye mabenki (ATM)Richard Kasesela , akitoa mada kwa wanafunzi wa kitivo cha sheria wa chuo kikuu cha Tumaini tawila kurasini.Jinsi ya kuwapa uwezo na Morali mara pindi wanapomaliza masomo yao,washa hiyo iliandaliawa na Kampuni ya East Africa Speakers Bureau ya jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Afisa Huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi na Mkurugenzi mtendaji wa Moneytrack Solutions pamoja na wanafunzi wa kitivo cha sheria wa chuo kikuu cha Tumaini tawi la kurasini,wakifatilia mada wakati wa semina maalumu ya kuwaandaa wanafunzi wanaohitimu elimu katika vyuo mbalimbali kwa ajili ya maisha yao baada ya kuhitimu,mada ililenga kuwapatia elimu ya Biashara,washa hiyo iliandaliawa na Kampuni ya East Africa Speakers Bureau ya jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Tumaini tawi la kurasini kitivo cha sheria ,wakifuatilia kwa makini mada wakati wa semina maalumu ya kuwaandaa wanafunzi wanao hitimu elimu katika vyuo mbalimbali kwa ajili ya maisha yao baada ya kuhitimu,mada ililenga kuwapatia elimu ya Biashara,washa hiyo iliandaliawa na Kampuni ya East Africa Speakers Bureau ya jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...