Home
Unlabelled
Struggle Over the Nile - Legacy of dispute
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante sana michuzi nimepoteza lisaa langu kujifunza mambo mengi ya muhimu. Shukrani
ReplyDeletethanx for the documentary..
ReplyDeleteMichuzi niko bize sana bali nataka kuangalia week end nawezaje download?
ReplyDeletePia nasikia Idd Amini alishawahi kuweka mita pale Owen falls ili wote wanaonufaika na haya maji wayalipie. Je ni kweli?
Asante sana Ankal kwa kutuletea this important documentary.
ReplyDeletemimi ni mtanzania lakini I think lazima kuwe na makubaliano yanayofaidisha nchi zote zinazilie kwenye nile basin, na pia inabidi tuelewe kuwa wenzetu wa Egypt wanategemea nile as their only source of fresh wote, so kwenye makubaliano lazima tuwafikirie kiubinadam, lakini na wenyewe hawawezi kuvumiliwa pale wanapojaribu kutumia mabavu based on mikataba mibovu ya wakoloni.
haya mambo ndio wanataka kutuletea wamalawi (hayawezi kuvumiliwa) yaani maji sis tuyaangalie kwa macho tu!!! it does not make sense even to a 2 year old child.
If you need something that you dont have, the solution is historic - you buy it, you dont negotiate!
ReplyDeletekaka asante kwa documentary ... nimejifunza mengi ... wabritish hawakuwatendea haki wa east africa.
ReplyDeleteNO STATE IN THE WORLD IS BOUND BY AN AGREEMENT SIGNED BEFORE EVEN THE STATE EXISTED. EGYPTIANS WAKE UP, DO NOT CLING TO A DEAD DOCUMENT. IT IS STUPID TO THINK THAT A COLONIAL DEAL WILL BIND INDEPENDENT STATES OF TODAY. SUDAN & EGYPT SHOULD SIT TOGETHER WITH OTHER STATES AND DISCUSS A FAIR AND EQUITABLE DISTRIBUTION. USE OF ANY FORCE OR ARROGANCE WILL BE DETRIMENTAL TO THOSE AT THE END OF THE RIVER.
ReplyDelete