Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2011

    Asante sana michuzi nimepoteza lisaa langu kujifunza mambo mengi ya muhimu. Shukrani

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2011

    thanx for the documentary..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2011

    Michuzi niko bize sana bali nataka kuangalia week end nawezaje download?

    Pia nasikia Idd Amini alishawahi kuweka mita pale Owen falls ili wote wanaonufaika na haya maji wayalipie. Je ni kweli?

    ReplyDelete
  4. Asante sana Ankal kwa kutuletea this important documentary.
    mimi ni mtanzania lakini I think lazima kuwe na makubaliano yanayofaidisha nchi zote zinazilie kwenye nile basin, na pia inabidi tuelewe kuwa wenzetu wa Egypt wanategemea nile as their only source of fresh wote, so kwenye makubaliano lazima tuwafikirie kiubinadam, lakini na wenyewe hawawezi kuvumiliwa pale wanapojaribu kutumia mabavu based on mikataba mibovu ya wakoloni.
    haya mambo ndio wanataka kutuletea wamalawi (hayawezi kuvumiliwa) yaani maji sis tuyaangalie kwa macho tu!!! it does not make sense even to a 2 year old child.

    ReplyDelete
  5. If you need something that you dont have, the solution is historic - you buy it, you dont negotiate!

    ReplyDelete
  6. kaka asante kwa documentary ... nimejifunza mengi ... wabritish hawakuwatendea haki wa east africa.

    ReplyDelete
  7. NO STATE IN THE WORLD IS BOUND BY AN AGREEMENT SIGNED BEFORE EVEN THE STATE EXISTED. EGYPTIANS WAKE UP, DO NOT CLING TO A DEAD DOCUMENT. IT IS STUPID TO THINK THAT A COLONIAL DEAL WILL BIND INDEPENDENT STATES OF TODAY. SUDAN & EGYPT SHOULD SIT TOGETHER WITH OTHER STATES AND DISCUSS A FAIR AND EQUITABLE DISTRIBUTION. USE OF ANY FORCE OR ARROGANCE WILL BE DETRIMENTAL TO THOSE AT THE END OF THE RIVER.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...