Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Tanga Cement, Erik Westerberg (kushoto) akishikana mikono na Mwanzilishi wa Kituo cha Kuwahudumia Walemavu cha Amani, Mama Josephine Bakita katika hafla ambyo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa jingo la bwalo la kulia chakula pamoja na jiko, hafla iliyofanyika  Mvomero, Morogoro. Msaada huo umegharimu jumla ya shs milioni 57.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Tanga Cement, Erik Westerberg (kushoto) akishikana mikono na mmoja wa watoto wanaolelea katika Kituo cha Kuwahudumia Walemavu cha Amani, Ima Kamota katika hafla ambyo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa bwalo la kulia chakula na jiko hafla iliyofanyika  Mvomero, Morogoro 
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Tanga Cement, Erik Westerberg (kulia) akikabidhi funguo za bwalo la kulia chakula kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Kuwahudumia Walemavu cha Amani, Padri Beatus Sewando, kilichopo Wilayani Mvomero, Morogoro. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2011

    Hapo waTz ndiyo tunapata gawio kutokana na uwekezaji. Umasikini bye bye. Meza safi sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...