Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Tanga Cement, Erik Westerberg (kushoto) akishikana mikono na Mwanzilishi wa Kituo cha Kuwahudumia Walemavu cha Amani, Mama Josephine Bakita katika hafla ambyo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa jingo la bwalo la kulia chakula pamoja na jiko, hafla iliyofanyika Mvomero, Morogoro. Msaada huo umegharimu jumla ya shs milioni 57.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Tanga Cement, Erik Westerberg (kushoto) akishikana mikono na mmoja wa watoto wanaolelea katika Kituo cha Kuwahudumia Walemavu cha Amani, Ima Kamota katika hafla ambyo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa bwalo la kulia chakula na jiko hafla iliyofanyika Mvomero, Morogoro
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Tanga Cement, Erik Westerberg (kulia) akikabidhi funguo za bwalo la kulia chakula kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Kuwahudumia Walemavu cha Amani, Padri Beatus Sewando, kilichopo Wilayani Mvomero, Morogoro.
Hapo waTz ndiyo tunapata gawio kutokana na uwekezaji. Umasikini bye bye. Meza safi sana!
ReplyDelete