Toka shoto ni John Mpapalika, mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia tekinolojia ya habari na mawasiliano (ITU) Kusini mwa Afrika, Thapelo Mogopa wa Mamlaka ya Mawasiliano Botswana na Isaac Mruma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania wakiwa kwenye kwenye Mkutano wa mwaka wa maafisa wa taasisi za tekinohama kwenye nchi wanachama wa Jumiya ya Ushirikiano Kusini mwa Africa SADC unaofanyika Gaborone, Botswana.
Home
Unlabelled
tanzania katika mkutano wa teknohama wa nchi za sadc gaborone, botswana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...