Timue ya Taifa ya vijana chini ya miaka 23 wakifurahia baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Nigeria wa kutafuta tiketi ya kufuzu kucheza mashindano ya Olimpiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo. Tanzania ilishinda 1-0 kwa bao la Thomas Ulimwengu dakika ya 84.
Mashabiki washangilia ushindi
Thomas Ulumwengu akichuana na beki wa Nigeria kabla hajapiga bao
Kiungo wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 23, Himid Mao akiwa amembeba juu kipa wa timu hiyo, Juma Seif baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Nigeria |
Kikosi cha U-23 kabla ya gemu leo.
Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii
Wakati huo huo, habari kutoka Bangui, Afrika ya Kati, zinasemka Taifa Stars imefungwa bao 2-1 katika mchezo wake wa kusaka Ubingwa wa Africa (AFCON). Mpira umeisha punde, habari kamili baadaye kidogo baada ya mwanahabari wetu kurusha vitu toka huko.
Kumbukeni wanigeria wanajilipua umri. Mtu ana miaka 29 anajiita "19 year old" lakini kwa kumuangalia tu unaona kijeba. Kwa hio huu ushindi ni mkubwa sana huuu
ReplyDeleteHUYU COCHA JULIO ANAFANYA KAZI NZURI, TUSIMSAHAU KWASABABU YA YULE COCHA KUTOKA UGHAIBUNI. TIMU HII KAIJENGA YEYE NA YULE COCHA MGENI ATAONGEZEA MACHACHE AMBAYO "YAMKINI" YATASAIDIA.
ReplyDelete