Timue ya Taifa ya vijana chini ya miaka 23 wakifurahia baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Nigeria wa kutafuta tiketi ya kufuzu kucheza mashindano ya Olimpiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo. Tanzania ilishinda 1-0 kwa bao la Thomas Ulimwengu dakika ya 84.
 Mashabiki washangilia ushindi
 Thomas Ulumwengu akichuana na beki wa Nigeria kabla hajapiga bao


Kiungo wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 23, Himid Mao akiwa amembeba juu kipa wa timu hiyo, Juma Seif baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Nigeria

Kikosi cha U-23 kabla ya gemu leo.
Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii

Wakati huo huo, habari kutoka Bangui, Afrika ya Kati, zinasemka Taifa Stars imefungwa bao 2-1 katika mchezo wake wa kusaka Ubingwa wa Africa (AFCON). Mpira umeisha punde, habari kamili baadaye kidogo baada ya mwanahabari wetu kurusha vitu toka huko.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2011

    Kumbukeni wanigeria wanajilipua umri. Mtu ana miaka 29 anajiita "19 year old" lakini kwa kumuangalia tu unaona kijeba. Kwa hio huu ushindi ni mkubwa sana huuu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2011

    HUYU COCHA JULIO ANAFANYA KAZI NZURI, TUSIMSAHAU KWASABABU YA YULE COCHA KUTOKA UGHAIBUNI. TIMU HII KAIJENGA YEYE NA YULE COCHA MGENI ATAONGEZEA MACHACHE AMBAYO "YAMKINI" YATASAIDIA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...