Warembo wapatao 15 wanaoshiriki katika kinyang’anyiro cha kumsaka Miss Morogoro – 2011 wakiwa kwenye picha ya pamoja ndani ya bustani ya Hoteli ya Masuka, ilipo kambi yao ya mazoezi kabla ya kufanyika kwa shindano hilo, Julai Mosi mwaka huu Mjini hapa.Picha zote na John Nditi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...