Waziri Mkuu,Mizengo Pinda (kushoto) akifungua mkutano wa Utumishi wa Umma jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia ambaye wizara yake imeeandaa mkutano Utumishi wa Umma jijini Dar es Salaam leo,akimkaribisha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuhutubia katika mkutano huo.
Washiriki wakichukua matukio kwenye mkutano Utumishi wa Umma jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (katikati) akipiga picha ya pamoja na watumishi wa umma wa ofisi ya kodi ya Poland ambayo imeibuka mshindi duniani kwa utoaji huduma bora na ya tija, mara baada ya Wazirui Mkuu Pinda kufungua mkutano wa Utumishi wa Umma jijini Dar es Salaam leo. Wa tatu kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia ambaye wizara yake imeandaa mkutano
huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...