Hapa ni Victoria kwenye kona ya kwenda Mwananyamala ambapo pamekuwa na mashimo makubwa sana kama picha hii inavyoonekana.sasa sijui na hapa panatakiwa kupatikana kimemo toka kwa mkuu ili mambo yawekwe sawa fasta??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2011

    VIPOFU TOLEA LINI WANAONA SI MPAKA WASAIDIWE? WAFADHILI WAKIPATIKANA TU BASI LABDA MAMBO YATAKWISHA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2011

    Manispaa ya Kinondoni tafadhali itupieni jicho na ile barabara ya TANESCO Msasani. Yaani ni mbovu sana na ile ndiyo mkombozi wetu tunaotokea Mbezi.

    Na kwa nini hamuiwekei lami????????? Mulijenga vimitaro vya kishikaji na kifisadi baada ya kipindi kifupi tu vimebomoka bomoka. Hata mimi nisiyekuwa engineer nilielewa kuwa pale ni bomu tu.

    Munakula mpaka mitaji ya kodi zetu! Hebu oneni aibu jamani weeeeeeeee!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 09, 2011

    Bongo Tambarare si Machimboni hapo? Almasi,Dhahabu nje nje hapo... KZ

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 09, 2011

    NCHI YETU JAMANI IMEOZA,KILA JAMBO BAYA LIPO TANZANIA,MAISHA DUNI KABISA YAPO TANZANIA,NAONA HATA NCHI NDOGO KAMA RWANDA INAANZA KUTUSHINDA VIONGOZI WETU KAZI YA MALUMBANO NA MAANDAMANO KILA SIKU NA SULUHU YA MATATIZO SUGU HAIONEKANI.HAPA NI BARA BARA BADO HATUJAENDA KTK UMEME WA MGAO,RUSHWA,UJAMBAZI,UFUSKA,HUDUMA DUNI ZA AFYA,AJALI ZA KILA MARA NK.SASA HII BARA BARA IPO KTK WILAYA YA KINONDONI NA WABUNGE NA VIONGOZI WA WILAYA HII TUNAWAONA KILA SIKU KTK MABONANZA NA SHUGHULI ZA STAREHE,KUZINDUA BIA MPYA NK.CHA KUSHANGAZA KWA NINI HAWACHUKUI HATUA ZA KUTATUA MATATIZO KAMA HAYA ??MUDA WA MAMBONANZA WANAO SANA LAKINI MAENDELEO YA NCHI WAO SIYO SHIDA YAO.KWELI BONGO TAMBARARE.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 10, 2011

    Ebana hata New York nimeshaona haya mambo. Usisikitike sana, Bongo kama New York,Ahem.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 10, 2011

    Hizi ni mbinu za kuzuia mwendo wa kasi ambazo serikali inaweza kupunguza ajali ni speed restriction hizi hapo ni lazima unyate huku ukiyumbayumba gd job

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...