Bibi Maryrose Rop mwakilishi wa WSP kutoka benki ya dunia kanda ya Afrika akiwaelekeza baadhi ya washiriki katika washa jinsi ya ukusanyaji wa tarifa ya utafiti kwa watumiaji wa maji na umeme katika mikoa ya Dar es salaam,Tanga,Mbeya ,Tabora na Sumbawanga katika warsha liyofanyika jana jijini Dar es salaam ikiwa imeandaliwa na Bank ya Dunia pamoja na baraza la ushauri la watumiaji wa huduma zinazo dhibitiwa na EWURA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...