Askari wa Usalama Barabarani akiwa amemkamata Dereva wa daladala ambaye alifanya kosa na kukimbia kwa kudhani kwamba askari huyo hakumuona na ndipo alipomfuata katika kituo alichokuwa amepaki daladala lake na kumkamata na kumpeleka kituoni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2011

    Asakari wa Bongo hawana hata pingu, jamaa akitaka kutoroka hapo atafanyaje? Labda anamfahamu huyo dereva!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2011

    Ni uonevu na njaa tu ndiyo inawasumbua na kuwafanya askari wa bongo kuwakamata watu na madereve hovyo!Hakuna sheria wala haki ya binaadamu,tajiri ataongea na pesa zake na masikini ataongea na unyonge wake na kuishia ndani jela!MNYONGE HANA HAKI BONGO!HAKI YAKE IPO KWA MUNGU!LAKINI DUNIANI NI MATESO NA UONEVU TU!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2011

    Hapo Afande alidai chake kitu kidogo, jamaa akajifanya mjanja kwa ktimua, sasa Afande anamwambia nimekubamba, sijakumbamba, jamaa hana la kujibu zaidi, zaidi anajibu umnibamba

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 10, 2011

    askari wa barabarani kazi yao kukamata kwani? si wachukue maelezo tu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 10, 2011

    wabono bwana, madereva wakifanya makosa mnawalaumu trafic, wakikamatwa bado mnawalaumu trafic.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 11, 2011

    Kwa mujibu wa globu ya jamii, hicho kitendo kinaitwa "No Smoking", au sio Ankal?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...