Home
Unlabelled
afande akiwa na mtuhumiwa wake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asakari wa Bongo hawana hata pingu, jamaa akitaka kutoroka hapo atafanyaje? Labda anamfahamu huyo dereva!
ReplyDeleteNi uonevu na njaa tu ndiyo inawasumbua na kuwafanya askari wa bongo kuwakamata watu na madereve hovyo!Hakuna sheria wala haki ya binaadamu,tajiri ataongea na pesa zake na masikini ataongea na unyonge wake na kuishia ndani jela!MNYONGE HANA HAKI BONGO!HAKI YAKE IPO KWA MUNGU!LAKINI DUNIANI NI MATESO NA UONEVU TU!
ReplyDeleteHapo Afande alidai chake kitu kidogo, jamaa akajifanya mjanja kwa ktimua, sasa Afande anamwambia nimekubamba, sijakumbamba, jamaa hana la kujibu zaidi, zaidi anajibu umnibamba
ReplyDeleteaskari wa barabarani kazi yao kukamata kwani? si wachukue maelezo tu
ReplyDeletewabono bwana, madereva wakifanya makosa mnawalaumu trafic, wakikamatwa bado mnawalaumu trafic.
ReplyDeleteKwa mujibu wa globu ya jamii, hicho kitendo kinaitwa "No Smoking", au sio Ankal?
ReplyDelete