Ankal akila konozzz na Bi Chau kwenye wa maonesho ya kimataifa ya Dar es salaam maarufu kama SabaSaba kwenye uwanja wa Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa road. Maonesho hayo ya siku 10 yameshaanza kunoga ila wadau wanalalamika kwamba kiingilio cha sh 2500/- kwa siku ni kikubwa mno na pia hivi sasa hakuna ruksa kupiga makelele hivyo muziki marufuku na mambo ni kimya kimya....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2011

    sasa ankal ushasema barabara ya kilwa, halafu unasema tena barabara ya kilwa road mhhhh...haya

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2011

    kaka MISUPU KITAMBI hicho ebu fanya mazoezi bana maana kinakuja kwa kasi.Picha nzuri sana na mumependeza.
    RIBENEKE OYEEEEEEEEEE.
    Mtanzania HALISI-KWA BIBI!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 01, 2011

    Ankali mambo kimya kimya huwaga hayanogi na ukizingatia hapo kunapatikana huduma za vinywaji vya kilevi sasa vinywaji bila muziki haviendani kabisa yani kwa mpango huo wameboesha hadhi ya seven seven ile ya miaka yetu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 01, 2011

    KAMA MAMBO NI HIVYO HAKUNA MZIKI HAWANIPATI SABA SABA.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 01, 2011

    Bora kunakuwa na kelele sana

    ReplyDelete
  6. Fulanasssssssss kwishiney kwa kitabi hichi habari ya fulana kwisha habari yake , na nasitikika sana kuoona fulana ya jamiii haina nafasi tena Maana kitambis kwa sasa sio mbaya !

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 01, 2011

    mmependeza sana sana ! Bi Chau ni msanii mkongwe hasiye na majivuno,
    Mungu akuzidishie
    wadau FFU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...