Ankal akila konozzz na Bi Chau kwenye wa maonesho ya kimataifa ya Dar es salaam maarufu kama SabaSaba kwenye uwanja wa Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa road. Maonesho hayo ya siku 10 yameshaanza kunoga ila wadau wanalalamika kwamba kiingilio cha sh 2500/- kwa siku ni kikubwa mno na pia hivi sasa hakuna ruksa kupiga makelele hivyo muziki marufuku na mambo ni kimya kimya....
Home
Unlabelled
ankal ala konozzz na bi chau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
sasa ankal ushasema barabara ya kilwa, halafu unasema tena barabara ya kilwa road mhhhh...haya
ReplyDeletekaka MISUPU KITAMBI hicho ebu fanya mazoezi bana maana kinakuja kwa kasi.Picha nzuri sana na mumependeza.
ReplyDeleteRIBENEKE OYEEEEEEEEEE.
Mtanzania HALISI-KWA BIBI!
Ankali mambo kimya kimya huwaga hayanogi na ukizingatia hapo kunapatikana huduma za vinywaji vya kilevi sasa vinywaji bila muziki haviendani kabisa yani kwa mpango huo wameboesha hadhi ya seven seven ile ya miaka yetu.
ReplyDeleteKAMA MAMBO NI HIVYO HAKUNA MZIKI HAWANIPATI SABA SABA.
ReplyDeleteBora kunakuwa na kelele sana
ReplyDeleteFulanasssssssss kwishiney kwa kitabi hichi habari ya fulana kwisha habari yake , na nasitikika sana kuoona fulana ya jamiii haina nafasi tena Maana kitambis kwa sasa sio mbaya !
ReplyDeletemmependeza sana sana ! Bi Chau ni msanii mkongwe hasiye na majivuno,
ReplyDeleteMungu akuzidishie
wadau FFU