HII NI HALI YA UGIRIKI KWA SASA,MTOTO AKIZALIWA ANAZALIWA NA DENI LA 40,000 EURO,NA TAKWIMU ZA SASA NI KUWA KILA MTU MMOJA ANA DENI LA 35,000 EUROS HALI HII NI SAWA NA TANZANIA WAKATI HUO,MAISHA YAMEPANDA KUPITA KIASI NA SASA RAIA NA WAFANYAKAZI WANATAKIWA WALIPE MADENI YASIYOKUWA YAO.
Manati ndani...
Ras Makunja akiselebuka jukwaani
Huu hhaaaaa! Ras Makunja hataki kusikia mziki mwingine wewe...!
Haya nduguzetu wanaharakati wa kubeba maboks mliopo hapo ugiriki tafuteni
ReplyDeletepengine pa kukimbilia au rudini nyumbani tuendeleze kilimo kwanza
maana wenye nchi njaa imewakumba mufilisi hawana kitu na umoja wa ulaya unagoma kuwakopesha tena msingi maana walishakopeshwa msingi wakaula teh teh teh bongo kutamu kila siku tunaletewa mikopo wala hatuombi.
kwa kweli hali inasikitisha sana,maisha yamepanda kupita,42 % hawana kazi,wafanyakazi ugiriki ni mil.3 tu nchi yenye raia zaidi ya ml 20 wakiwa mil.10 wote wapo nje ya nchi au wamezaliwa nje.
ReplyDeleteTAKWIMU ZA EU ZINAONESHA KATIKA WATU MIL.3 TAKRIBAN ROBO NI WAHAMIAJI WANAOFANYA KAZI,NI NCHI PEKEE AMBAYO INA KIWANGO KIKUBWA CHA WAKULIMA WAKATI DUNIA NZIMA SEKTA YA PRIMARY NI NDOGO IKIONGOZWA NA TERTIARY SECTOR KISHA NI SECONDARY SECTOR,HII SI BALAA UMANGANI KUWA KAMA PAKISTANI? WATU WANALALA NJE AGALIENI BBC PANORAMA BREAKING INTO BRITAIN
AKINA RAS MAKUNJA !!!!WAKATI MWINGINE MJARIBU KUWA WASTARAABU JAMANI KILA MNAPOFIKA NI MAGITAA TU !MARA NYINGINE MTUMIEGE BUSARA,SASA HATA MPIGA DRUM NAE KAKOSEA KIDOGO MDUNDO KACHUKUA HAKI YAKE!!!!KISAGO !!
ReplyDeleteras makunja anashangaza sasa mpiga drum kakosea kiduchu tu unamburuta na teke
ReplyDelete