Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mh. Alfonso Lehardt alipofika Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais na kufanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mh fatma Abdulhabib Ferej ofisini kwake Migombani, Unguja
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mh. alfonso Lehardt akisaini kitabu cha wageni
Balozi huyo wa Marekani akipata maelezo juu ya Sober House iliyoko Tomondo.
Balozi huyo wa Marekani akiwa katika picha ya pamoja na  wakaazi wa Sober House iliyoko Tomondo.
Balozi huyo wa Marekani akiwa na baadhi ya wakaazi wa Sober House iliyoko Tomondo, Unguja. Nyumba hii, iliyoanzishwa 13/01/2009, inahifadhi vijana walio katika mapambano ya kuacha na madawa ya kulevy. Picha na habari na Raya Hamad

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...