Mdau Nassir Mohamed akifurahi baada ya kulamba nondozzz yake ya MSC Business and Management   katika Chuo Kikuu cha University of Bedfordshire nchini Uingereza. Nassir ni bonge moja la producer mkali wa filamu za Bongo akiwa anajidai kwa kuachia filamu za Super model  na Mhanga wa mapenzi itakayoingia sokoni karibuni

 Nassir akilamba nondozzz zake
Da' Ummalkher na yeye kalamba nondozzz ya  MSC International Business

 Nassir akila pozi baada ya kula nondozzz
 Nassir na kaka yake baada ya kula nondozzz
Da' Ummalkheir Abdi  baada ya kulamba nondozzz yake ya Msc International Business

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2011

    Congratulation Nassir,inabidi murudi bongo wasomi kuendeleza nchi zenu.Na michuzi hujatuintroduce kuwa huyo Da Ummalkheir ndio shem wetu kwa producer au lah?na kama ni Lah Ameolewa au Lah?


    Mdau Gongo la mboto

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2011

    na kama ni Lah unamtaka au Lah?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 21, 2011

    Pongezi kwenu wote wawili na tunamuomba Muumba awalinde na awabariki. Amin.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 21, 2011

    Anon wa kwanza kabisa, umefanya vizuri kumpa Nasir 'congratulation' lakini umetibua kwa kuanza kuuliza maswali kuhusu status ya ndoa ya bibie. Kama unatafuta mchumba nashauri utoe tangazo hapa badala ya kuunganisha mambo yasiyohusiana.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 25, 2011

    hahhaaaa m so happy for Ummar.. Lol! umenikumbusha mbali sana enzi za primary Olyimpio.. finally u made it through... ulikuwa mtundu sana... unakumbuka ule wimbo we use to sing "tulikula wali- wali na sooombe"... malizia basi... faraja anatoa kibwagizo.... 7B......

    All the best....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...