MAREHEMU HERBERT JOHNSON MWAIMU.
Leo, imetimia miaka 16 tangu Baba yetu ,mzee wetu ulipotengana nasi kwa mapenzi yake
mola baada ya ajali mbaya ya Gari iliyotokea mkoani mbeya. na kuzikwa kijijini kwako kwegole Muheza Tanga .
Japokuwa haupo nasi tena kimwili tukikumbuka ule ucheshi wako ,ushauri na mapenzi yako kwa kila mtu ni kama bado upo nasi.Unakumbukwa na wanao kipenzi John Richard wa LONDON, Julius Hansy wa osaka Japan na Charles wa NMB Namtumbo,mkeo Christine Mwaimu wa TAN TRADE, Wafanyakazi wenzio waanzilishi wa BOT mwaka 1966 wastaafu na wale waliopo sasa, majirani zako Upanga mazengo, Seaview na uzunguni mbeya,ndugu jamaa na marafiki.
Sisi sote njia yetu ni moja wewe umetangulia mungu akurehemu daima
AMINA.
Poleni sana, namkumbuka Mr. Mwaimu alikuwa boss wangu nilipokuwa BOT, Banking Dept, Holland House such a nice man na alikuwa boss asiye na makuuu.
ReplyDeletepoleni sana jamani.john mwaimu nicheki kwenye mukizahp2@yahoo.co.uk.juma wa mwakaleli
ReplyDelete