Graca Machel na Winnie Mandela katika mnuso wa hepi besdei ya Madiba alipotimiza miaka 90. Leo katimiza miaka 93. Globu ya Jamii inaungana na kila mdau dunia nzima kusherehekea kuzaliwa kwa shujaa huyu wa mapinduzi ya uongozi Sauzi na dunia nzima kwa jumla. Hepi Besdei MADIBA!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2011

    Jamani, Mandela alikuwa smart kwenye uoaji. Yaani wake zake wote bomba!! Hongera Madiba kwa birthday!!
    mdau

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2011

    Ankal, Naomba kuchukua nafasi kuungana na mamilioni na mamilioni ya watu duniani kote kumtakia Madiba "Happy birthday" na kuwaombea yeye na wanafamilia wake kila la heri.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 18, 2011

    Mungu mbariki Nelson Mandela. Mungu ibariki Afrika. Amen.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2011

    Pongezi kwa mzee wetu Mandela kwa kutimiza miaka 93. All the best. Kalinga & family wa Iringa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 18, 2011

    Hongera sana Mzee wetu Madiba, Mungu azidi kukupa maisha marefu, wajuu zako tupo pamoja nanewe.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 18, 2011

    Pongezi mzee Madiba..Mungu akupe umri mrefu na afya njema)))
    Michuzi unaweza kuniunganisha na Anony huyo aliejitambulisha kama Kalinga & family wa Iringa nafkiri ni mtu nnaemulewa na sina contact zake..email yangu ni ngangari85@yahoo.com
    Thanks Michuzi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 18, 2011

    Jamani nimefurahishwa sana na hawa wake za madiba wanavyoweka chuki na visa pembeni, maisha yanaendelea kama hakuna baya lililotokea ni mfano wa upendo unaotakiwa. wanandoa walioachana si vizuri kuwa maadui au wake/waume wenza kuwa maadui. nafikiri hii huwa rahisi kwa wazungu lakini sisi waafrika bado ngumu kidogo lakini maisha ni mafupi hakuna haja ya kuweka jazba na x-wako.

    mungu azidi kukupa maisha Madiba, happy birthday!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...