Home
Unlabelled
hepi besdei ya kuzaliwa nelson mandela leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani, Mandela alikuwa smart kwenye uoaji. Yaani wake zake wote bomba!! Hongera Madiba kwa birthday!!
ReplyDeletemdau
Ankal, Naomba kuchukua nafasi kuungana na mamilioni na mamilioni ya watu duniani kote kumtakia Madiba "Happy birthday" na kuwaombea yeye na wanafamilia wake kila la heri.
ReplyDeleteMungu mbariki Nelson Mandela. Mungu ibariki Afrika. Amen.
ReplyDeletePongezi kwa mzee wetu Mandela kwa kutimiza miaka 93. All the best. Kalinga & family wa Iringa.
ReplyDeleteHongera sana Mzee wetu Madiba, Mungu azidi kukupa maisha marefu, wajuu zako tupo pamoja nanewe.
ReplyDeletePongezi mzee Madiba..Mungu akupe umri mrefu na afya njema)))
ReplyDeleteMichuzi unaweza kuniunganisha na Anony huyo aliejitambulisha kama Kalinga & family wa Iringa nafkiri ni mtu nnaemulewa na sina contact zake..email yangu ni ngangari85@yahoo.com
Thanks Michuzi.
Jamani nimefurahishwa sana na hawa wake za madiba wanavyoweka chuki na visa pembeni, maisha yanaendelea kama hakuna baya lililotokea ni mfano wa upendo unaotakiwa. wanandoa walioachana si vizuri kuwa maadui au wake/waume wenza kuwa maadui. nafikiri hii huwa rahisi kwa wazungu lakini sisi waafrika bado ngumu kidogo lakini maisha ni mafupi hakuna haja ya kuweka jazba na x-wako.
ReplyDeletemungu azidi kukupa maisha Madiba, happy birthday!!