Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwakilishi wa Umoja wa Afrika (African Union) nchini Marekani,Balozi Amina Ali wakati alipomtembelea Rais na kumpa muhtasari wa mpango kabambe wa kuwavutia wawekezaji nchini Tanzania na bara zima la Afrika katika mchakato wa maendeleo kupitia AGOA,Ikulu jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Amina Ali mara baada ya mazungumzo yao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2011

    JK , President wa ukweli nakufagilia ile mbaya

    Long Live !

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2011

    Mama huyo hakika ni gwiji la siasa za Tanzania na zile za Kimataifa. Kadunda mzigo huko USA mpaka wazungu wanajiuliza ni kwa nini alizaliwa Tanzania. Mheshimiwa Rais una hazina nzuri kweli ya wachapakazi akinamama huko ughaibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...