Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwakilishi wa Umoja wa Afrika (African Union) nchini Marekani,Balozi Amina Ali wakati alipomtembelea Rais na kumpa muhtasari wa mpango kabambe wa kuwavutia wawekezaji nchini Tanzania na bara zima la Afrika katika mchakato wa maendeleo kupitia AGOA,Ikulu jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Amina Ali mara baada ya mazungumzo yao.
JK , President wa ukweli nakufagilia ile mbaya
ReplyDeleteLong Live !
Mama huyo hakika ni gwiji la siasa za Tanzania na zile za Kimataifa. Kadunda mzigo huko USA mpaka wazungu wanajiuliza ni kwa nini alizaliwa Tanzania. Mheshimiwa Rais una hazina nzuri kweli ya wachapakazi akinamama huko ughaibuni
ReplyDelete