MAREHEMU HERBERT JOHNSON MWAIMU.


Leo, imetimia miaka 16 tangu Baba yetu ,mzee wetu ulipotengana nasi kwa mapenzi yake
mola baada ya ajali mbaya ya Gari iliyotokea mkoani mbeya.  na kuzikwa kijijini kwako kwegole Muheza Tanga .  


Japokuwa haupo nasi tena kimwili tukikumbuka ule ucheshi wako ,ushauri na mapenzi yako kwa kila mtu ni kama bado upo nasi.Unakumbukwa na wanao kipenzi John Richard wa LONDON, Julius Hansy wa osaka Japan na Charles wa NMB Namtumbo,mkeo Christine Mwaimu wa TAN TRADE, Wafanyakazi wenzio waanzilishi wa BOT mwaka  1966 wastaafu na wale waliopo sasa, majirani zako Upanga  mazengo, Seaview na uzunguni mbeya,ndugu jamaa na marafiki.

Sisi sote njia yetu ni moja wewe umetangulia mungu akurehemu daima 
AMINA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mama NancyJuly 15, 2011

    Poleni sana, namkumbuka Mr. Mwaimu alikuwa boss wangu nilipokuwa BOT, Banking Dept, Holland House such a nice man na alikuwa boss asiye na makuuu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2011

    poleni sana jamani.john mwaimu nicheki kwenye mukizahp2@yahoo.co.uk.juma wa mwakaleli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...