Askari wa JWTZ wa kikosi cha 44 KJ wakiwa mazoezini kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa jijini Mbeya leo. sikukuu hii itafanyika Mtwara kitaifa Jumatatu tarehe 25/07/2011
Bendi ya jeshi la Magereza wakiongoza gwaride
Wanajeshi wakiendelea na mazoezi kwa ukakamavu
Mnara huu wa majina ya Mashujaa waliokufa vitani upo katikati ya jiji la mbeya sijui kama nao wataukumbuka kuufanyia usafi maana umezungukwa na nyasi. Picha na Globu dada ya Jamii, MBEYA YETU

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...