Home
Unlabelled
YANGA YATINGA NA VIKOMBE vyao BUNGENI dodoma LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inasaidia nini kupeleka makombe ya chienyeji bungeni badala ya BUNGE kuwa sehemu ya kujadili mambo ya muhimu kama Umeme, Jairo, Ngeleja et al., imekuwa sehemu ya kutafuta umaarufu wa chienyeji mbona hamleti ubingwa wa Africa tujue mnajua mpira. Sijawahi kusikia Manchester wamepeleka kombe Bungeni that is bogus. Ujinga mtupu
ReplyDeleteHow sad to see MPs wasting public funds!! Instead of working they were happy celebrating Yanga's victory. Bunge Office should deduct from their allowances all the time spent outside Bunge. Teams win World Cups but don't take their celebrations to the law makers. JK, dissolve this Bunge, they are basically doing nothing.
ReplyDeleteMichezo ni sehemu ya maendeleo kwa jamii duniani kote, tena ni biashara kubwa sana inayoingiza mamilion ya fedha, halafu inasaidia matatizo sugu ya kukosa ajira kwa vijana. Baada ya mijadala mikali bungeni na hasa hoja zinazotolewa na CHADEMA ni vizuri sana michezo ikaleta faraja kwa waheshimiwa wabunge, ushindi wa Yanga umefika wakati muafaka kwa Taifa letu,HONGERA SANA YANGA, tunategemea makubwa mwakani kombe la klabu bingwa Afrika.
ReplyDeleteMdau wa kwanza na wa pili BIG UP SANAAA mumetoa ujumbe wa maana sana nami nakubaliana na nyinyi.Tanzania kuna mambo ya ajabu ajabu sana SOMETIMES yaani hadi inatia aibu.
ReplyDeleteSimba bwana, hata hili wanadai Yanga kabebwa!! Ulalamishi ni tabia ya jamii yoyote ambayo ni second....e.g. mke mdogo. Mnalo!!
ReplyDeleteMi dukuduku langu ni juu ya dressing code ilotumiwa na yanga!!Truck suits bungeni!!!!??I expected to saw u guys ndani ya suti za ukweli, smart and presentable!!Mtavaaje ka mnaenda mazoezini bana??
ReplyDelete