Albert Shija ndani ya Stamford Bridge, uwanja wa Chelsea

KWENU WADAU WETU,
 YULE KIJANA MTANZANIA MWENZETU BW ALBERT SHIJA AMEREJEA JUZI NCHINI KWA AJILI YA LIKIZO YA MWEZI MMOJA NA KUANZA MAZOEZI RASMI.

KIJANA HUYU AMBAYE MZAZI WAKE ALIMPELEKA ACADEMY YA TIMU YA CHELSEA F.C ILI AIJUE  VIZURI NA ATAKAPOMALIZA SHULE AWEZE KUJIUNGA NA ACADEMY HIYO KUTOKANA NA KIWANGO KIZURI ALICHOKIONYESHA KATIKA TIMU YAKE YA SHULE HUKO UINGEREZA. KATIKA SHULE ANAYOSOMA YA PORTAGE YEYE NI MWAFRIKA PEKEE.

SISI KAMA VIONGOZI WAKE TUNATEGEMEA KUWA KIJANA HUYU AKITIMIZA MALENGO YAKE ANAWEZA KUWA  NA FAIDA KWA TAIFA HILI HASA TIMU ZA TAIFA ZA VIJANA.   
                                            
TAARIFA BY UONGOZI -KIJITONYAMA CHIPUKIZI SPORTS CENTRE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...