Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, Pindi Chana (CCM),wa pili kushoto, Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (wa tatu kushoto), Ofisa Tawala wa wa Wilaya ya Ludewa,Charles Keiya na Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari ya Lugarawa, Mathias Kihaule (kushoto) wakifurahia wakati TBL ilipokabidhi tenki la maji lenye ujazo wa lita 50,000 za maji katika Kijiji cha Lugarawa, wilayani Ludewa hivi karibuni.Ujenzi wa tenki hilo umegharimu sh.milioni 15 zilizotolewa na TBL.Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
TBL YASAIDIA MAJI LUDEWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...