Ankal naomba uniwekee hii kwenye blog yetu ya jamii
 
Mimi ni mmiliki wa shule ya msingi na ninahitaji kwa haraka sana kununua basi la shule la viti walau 35.
 
Nipo tayari kuingia mkataba wa manunuzi na muuzaji kwa malipo ya awamu.
 
email yangu ni gbk1968@gmail.com
 (unaweza kunitumia picha za basi/mabasi) 
na namba yangu ya simu ni +255786 477 720
 
Mdau wa Elimu Bora Tanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2011

    Mimi ninauza basi la viti 50. Lakini nataka malipo yote kwa pamoja. Ningekushauri ukope benki halafu uje kununua basi langu. Bei ni makubaliano.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2011

    Mimi nina basi la viti 40, aina ya FUSO, la mwaka 2000. Linatembea na liko na hali nzuri. Bei ni 15 million cash, mkopo kesho. Kwa mawasiliano nipigie 0754 786189 au email: engalus@yahoo.com. Napatikana Magomeni karibu na Mahakama ya ndizi. Anwani yangu ya posta ni Erick J. Ngalus, P.O. BOX 302717 DSM. Nasubiri mawasialino yako. Picha za basi nitakutumia kwenye email yako.

    Mdau

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 12, 2011

    Bwana huyu ni tapeli tu. Heti analipa kwa awamu, mtu binafsi alafu malipo yanageuka mbindo.... bongo kichwa cha mwanda wazimu toa basi lako uone kama kichwa hakitapasuka

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2011

    Aina gani ya Bus unalo taka,Model,Make,Engine Size,Full A/C n.k.Toa full details ya Bus unalo taka.Also japo unataka Bus kwa haraka nakushauri ufanye utafiti mwenyewe au tumia watu unao waamini ili usije nunua kimeo.Vile vile kwakuwa unataka Bus la haraka then inakubidi uwe na fedha taslimu sio mambo ya kudaiana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...