Hi Ankal,
Leo majira ya saa moja na dakika 45 nimepanda daladala pale kituo cha moroko kwenda Kawe, bahati mbaya sikupata siti mpaka kwa mwalimu, lakini tangu napanda kulikuwa na mwanafunzi wa kike ameketi katika siti amefunga hijabu lakini alikuwa anaonekana amesinzia, kufika njia panda ya coca cola konda akawa anakusanya nauli kufika kwa yule mwanafunzi akamuamsha lakini binti alikuwa harespond chochote,konda akajua ni usanii labda hataki kulipa nauli, akamtikisa wapi, ndipo watu tukaanza kumsaidia kumuamsha, lakini kumuangalia mapigo alikuwa kimya,ndipo watu wazima walipomcheki wakagundua ameshakufa.
mimi niliteremka kituo cha maringo nikaacha baadhi ya abiria wanaenda kituo cha polisi kawe, kwahiyo wenye watoto wao wanaosoma kawe au maeneo ya huko kama ni wa kike mwenye umri wa kadirio kama miaka 12 wafuatilie
Imenisikitisha sana maana kabinti kamefia usingizini
Mimi Mdau
Innalilah wajnarajuni, inahuzunisha sana ishallah mwenyezi mungu amlaze pahala pema peponi amin, na mungu awape nguvu wafiwa katika wakati huu mgumu sana kwao,
ReplyDeletena mdau ulotowa hii taarifa umefanya jambo la maana sana kutuarifu, safi sana kijana
innalilahi wainna ilayhi rajiun
ReplyDeleteInna Lillahi Wainna Illaihi Raajiun,ametangulia nasi tutafuata kwani kila nafsi itaonja umauti na umauti hauna taarifa.Poleni sana wafiwa.Mwenyezi Mungu ailze roho ya marehemu mahali pema Peponi.Amin
ReplyDeleteINNALILLAH WAINNA ILAH RRAJUYN
ReplyDeleteInalilahi wainailahi rajiun! USISIKITIKE SHUKURU MWENYEZIMUNGU KAMCHUKUWA KWENYE HALI SI MBAYA USINGIZINI.
ReplyDeleteinna lilah wainna ilayhi rajiun. Masikini wazazi wake. Mola awape subira Amin.
ReplyDeleteAma kwa mleta taarifa, hivi hukuwa kisheria unatakiwa wewe na abiria wote mliokuwamo ndani ya dala dala hiyo wakati huyo binti alipgundulikana kuwa amefariki kufika kituoni kama mashahidi/kuandika ripoti ya mlichokiona? au ndio bongo watu hawana muda wa kufanya hayo ukuzingatia kuwa hapo polisi hakuna la mara moja?
inna lilah wa inna ilayhi raajiuuna mwenyezi mungu awape moyo wa subra familia yake......!
ReplyDeleteAAAAAAAAAAAAA
ReplyDeleteinnalillah wainnalillah rrajiun.amean
ReplyDeleteMungu aiweke roho yake mahala pema peponi
ReplyDeletemasikini kweli imenigusa.
Inalillah waina ilaihi rajiuni,mungu amlaze mahali pema ameen
ReplyDelete