Ankal akiwa na wakongwe kadhaa wa muziki nchini kwenye mazishi ya mwanamuziki wa Mwenge Jazz Band "Wana Paselepa" Mabruki Mohamed aliyefariki jana jijini Dar na kuzikwa leo katika makaburi ya Kisutu
 Waombolezaji ikiwa ni pamoja na wanamuziki wakonge msibani hapo
wadau mbalimbali msibani
 
Mabruki alikuwa mtu wa watu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2011

    Duh! watu wapo makaburini wanazika huku wanacheka? Hongera ankal angalau unaonekana kuwa una "emotions" kuliko wengine wote hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...