Mzee Constantine Osward Millinga (90), mmoja kati ya waasisi watatu kati ya 17 wa TANU walio hai akiongea wakati wa maadhimisho ya kuzaliwa kwa chama hicho cha kwanza cha siasa nchini ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar Julai 7, 2011
Home
Unlabelled
Mzee Constantine Millinga akielezea kuanzishwa kwa TANU miaka 57 iliyopita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Ee Bwana Misupu huyo UWT mbona this time amekaa hapo mbeleni?
ReplyDeleteSijawahi kuona hii. Au ndo wanaogopa JK yasimkute kama yale yaliyomkuta Mzee Ruksa?
Kazi ipo.
umekata stimu tuwekee kipande kilichobaki
ReplyDelete