Seminar ya how to start your own business iliyooendeshwa na Achievers Club na kuwezeshwa na Rosemary wakitwange katika Chuo Kikuu cha Mmzumbe University cha Morogoroilifanikiwa sana na kila mwanachuo aliyehudhuria aliguswa nayo sana na ia members wengi walijiandikisha, 0717109362
Wanachuo katika semina
Rose Mwakitwange akitoa mada yake iliyosisimua wengi
Rose Mwakitwange (kulia) akikabidhi cheti kwa mmoja wa wanafunzi
aliohudhuria katika picha na muwezeshaji Rose Mwakitwange. kkauli ya mwazilishi ni :tunakaribisha watu wote wajiunge Achievers Club. Hii ni club ya watu wanaotaka na waliofanikiwa. Sisi lugha zetu tu ni mambo ya biashara na uongozi. Tanzania tunahitaji wanafanyabiashara wa kutosha ili waweze kushindana nje ya nchi na kuteka duinia. Pia tuanahitaji viongozi watakao ongoza taasisi za dunia ili kupiginania masilahi ya Tanzania nayobinywa na mataifa mengine. Kwa umoja lazima tuitawale dunia.
kwa vyuo na watu wanaotaka kufungua matawi ya
Achiever Clubs zaidi wawasiliane na namba zifuatazo:
0717109362
Achiever Clubs zaidi wawasiliane na namba zifuatazo:
0717109362
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...