Palikuwa hapatoshi |
Msanii mahiri wa Kike kutoka nyumba ya vipaji THT,aitwaye Lina akicheza jukwaa na mmoja wa madensa wake kwa namna ya kipekee usiku huu,ambao shangwe za hapa na pale ikiwemo miluzi kibaoo.
Nyomi la Watu
Kijana mdogo hivi lakini mambo yake ni makubwa awapo jukwaani,anaitwa Beka Boy kutoka nyumba ya vipaji THT akiimba jukwaani.
Msanii wa kike Mwasiti pamoja na msanii mwingine anayeibukia vilivyo katika anga ya hip hop bongo,Gozilla wakilishambilia jukwaa la Serengeti Fiesta 2011 usiku huu.
Wakazi wa jiji la Dar ambao wametoka kila kona wamejitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2011.
Msanii mwimbaji na mtunzi kutoka THT aitwaye Amin akiwa na kundi lake wakionyesha umahiri wa kucheza jukwaani kwa namna ya kipekee kabisa usiku huu.
Msanii mahiri wa kizazi kipya Ben Paul akiimba kwa hisia jukwaani usiku huu.Pichani ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Serengeti Breweries Limited,Tedd Mapunda,Mkurungenzi wa Masoko wa SBL,Ephraim Mafuru pamoja na Mdau wakiwa wamepozi huku wakifuatilia tamasha la Serengeti Fiesta likiendelea jukwaani usiku huu kwenye viwanja vya Lidaz Clud,Kinondoni jijini Dar.
Umati wa watu uliofurika usiku huu ndani ya viwanja vya Lidaz Club,wakishangilia majotro yanayaoendelea hivi sasa,ama kwa hakika ni full kujiachia watu ni wengi na ulinzi upo wa kutosha kabisa.
haina majotroooooooooooo
ReplyDeleteKweli watanzania wanaipendwa Fiesta haina majotroooooooooooooos!
ReplyDeleteSamahani lakini jana nilijaribu kuangalia kidogo nikawa bored. Mbona wasanii wengi wa kwetu wanatumia CD kwa nini? Ile ilitakiwa iwe live show na ingependeza kweli kweli.
ReplyDeleteSamahani nikiwa nimewaudhi
hahahaah fiesta kaka umeibania comment haina nomaa lakini sisi ndo watanzania tutazidi kutania mpaka mwisho.....
ReplyDeleteMDAU NORWAY
sio palikuwa hapatoshi tu na palikuwa pananuka na jasho pia na wezi nje nje
ReplyDeletehivi bongo siku hizi wanaruhusu kuvaa nguo zenye rangi ya jeshi?au kwa sababu amevaa Ruda basi na sheria hakuna,je sisi walalahoi tukivaa itakuwaje?
ReplyDelete